From Wikipedia, the free encyclopedia
Internazionale Milano, maarufu kama Inter au Inter Milan kwa wasio wataliano ni klabu ya mpira wa miguu iliyopo Milano nchini Italia. Ni moja ya timu zinazoheshimika duniani. Timu hii ilianzishwa mwaka 1908 na mashabiki wa AC Milan ambao walitaka timu iruhusu wachezaji wa kigeni ndio maana ikapata jina la Internazionale (ya kimataifa).
Makala hii kuhusu mambo ya utamaduni bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Internazionale Milano kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.
Every time you click a link to Wikipedia, Wiktionary or Wikiquote in your browser's search results, it will show the modern Wikiwand interface.
Wikiwand extension is a five stars, simple, with minimum permission required to keep your browsing private, safe and transparent.