![cover image](https://wikiwandv2-19431.kxcdn.com/_next/image?url=https://upload.wikimedia.org/wikipedia/commons/thumb/c/c1/Mamod_sp1_render.jpg/640px-Mamod_sp1_render.jpg&w=640&q=50)
Injini
From Wikipedia, the free encyclopedia
Injini (kutoka Kilatini ingenium kupitia Kiing. engine) ni mashine inayobadilisha nishati kuwa mwendo unaotumiwa kwa kazi mbalimbali.
![Thumb image](http://upload.wikimedia.org/wikipedia/commons/thumb/c/c1/Mamod_sp1_render.jpg/320px-Mamod_sp1_render.jpg)
Mifano ni
- injini ya mvuke inayotumia nishati ya joto ndani ya mvuke,
- injini ya mwako ndani inayotumia nishati ndani ya fueli kama vile petroli au diseli
- injini ya umeme inayotumia nishati ya umeme
- injini ya upepo inayotumia nishati ya mwendo wa hewa
na zote zinabadilisha nishati husika kuwa mwendo wa kuendesha mashine, magari na vifaa mbalimbali.