Huíla
From Wikipedia, the free encyclopedia
Mkoa wa Huíla ni kati ya mikoa kumi na nane ya Angola. Uko upande wa kusini.
Ukweli wa haraka Nchi, Mji mkuu ...
Huíla |
|
![]() |
|
Nchi | Angola |
---|---|
Mji mkuu | Lubango |
Eneo | |
- Jumla | 75,002 km² |
Idadi ya wakazi | |
- Wakazi kwa ujumla | 885.100 |
Funga
![Thumb image](http://upload.wikimedia.org/wikipedia/commons/thumb/8/86/Lubango-Namibe_landscape.jpg/640px-Lubango-Namibe_landscape.jpg)
Una wakazi 885,100 kwenye eneo la km² 75.002. Makao makuu ya mkoa yapo Lubango.