![cover image](https://wikiwandv2-19431.kxcdn.com/_next/image?url=https://upload.wikimedia.org/wikipedia/commons/thumb/e/ed/Houston_Rockets_team_huddle.jpg/640px-Houston_Rockets_team_huddle.jpg&w=640&q=50)
Houston Rockets
Timu ya Chama cha Mpira wa Kikapu Marekani (NBA) kutokea Houston, Texas / From Wikipedia, the free encyclopedia
Houston Rockets ni timu ya kulipwa ya mpira wa kikapu kutoka mjini Houston, Texas. Wanachezea katika Chama cha Mpira wa Kikapu nchini Marekani. Vinara wao waliopo kwa sasa ni pamoja na James Harden, Russell Westbrook.
![Thumb image](http://upload.wikimedia.org/wikipedia/commons/thumb/e/ed/Houston_Rockets_team_huddle.jpg/640px-Houston_Rockets_team_huddle.jpg)