Hidrojeni
kipengele cha kemikali na alama H na nambari ya atomiki 1; dutu nyepesi na iliyo tele zaidi katika ulimwengu / From Wikipedia, the free encyclopedia
Hidrojeni (ing. hydrogen) ni elementi ya kikemia yenye namba atomia 1 na uzani wa atomi 1.00794. Alama yake ni H. Ni atomi nyepesi kati ya elementi zote hivyo ina nafasi ya kwanza katika mfumo radidia
Ukweli wa haraka Hidrojeni (Hydrogenium) ...
Hidrojeni (Hydrogenium) | |
---|---|
Jina la Elementi | Hidrojeni (Hydrogenium) |
Alama | H |
Namba atomia | 1 |
Mfululizo safu | Simetali |
Uzani atomia | 1.00794 |
Valensi | 1 |
Densiti | 2700 kg/m3 |
Ugumu (Mohs) | {{{ugumu}}} |
Kiwango cha kuyeyuka | 14.02 K (−259.12°C) |
Kiwango cha kuchemka | 20.27 K (−252,88 °C) |
Asilimia za ganda la dunia | 0.88 |
Funga
Hidrojeni ni elementi inayopatikana kwa wingi kabisa ulimwenguni lakini si duniani. Iko ndani ya maji na katika molekuli zote za mada hai.