Zebaki
From Wikipedia, the free encyclopedia
Kwa Zebaki kama jina bandia la sayari angalia Utaridi
Ukweli wa haraka Zebaki au Hidragiri (hydrargyrum) ...
Zebaki au Hidragiri (hydrargyrum) | |
---|---|
Tone la zebaki | |
Jina la Elementi | Zebaki au Hidragiri (hydrargyrum) |
Alama | Hg |
Namba atomia | 80 |
Mfululizo safu | Metali ya mpito |
Uzani atomia | 200.59 |
Valensi | 2, 8, 18, 32, 18, 2 |
Densiti | 13.534 g/cm³ |
Ugumu (Mohs) | {{{ugumu}}} |
Kiwango cha kuyeyuka | 234.32 K (-38.83 °C) |
Kiwango cha kuchemka | 629.88 K (356.73 °C) |
Asilimia za ganda la dunia | 4*10-5 % |
Hali maada | kiowevu |
Mengineyo | kiowevu kwa hali sanifu |
Funga
Zebaki (jina la kisayansi: hidragiri; Kiing. mercury) ni elementi na metali duniani. Kikemia ni elementi ya mpito yenye kifupi cha Hg na namba atomia 80 katika mfumo radidia.