Gombakanzu
From Wikipedia, the free encyclopedia
Gombakanzu au majani ya Pemba (Stenotaphrum dimidiatum) ni spishi ya nyasi katika nusufamilia Panicoideae. Nyasi hili huunda matabaka mazito ya manyasi, mara nyingi kwa pwani. Kwa sababu ya hiyo spishi hii na spishi ndugu S. secundatum hupandwa katika nyua.
Maelezo zaidi Uainishaji wa kisayansi ...
Gombakanzu | ||||||||||||||||
---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|
Uainishaji wa kisayansi | ||||||||||||||||
|
Funga