From Wikipedia, the free encyclopedia
Go-Reizei (28 Agosti, 1025 – 22 Mei, 1068) alikuwa mfalme mkuu wa 70 (Tenno) wa Japani. Jina lake la kuzaliwa lilikuwa Chikahito, na alikuwa mwana wa kwanza wa Tenno Go-Suzaku. Mwaka wa 1045 alimfuata babake, na kuwa mfalme hadi kifo chake. Aliyemfuata kama Tenno ni mdogo wake, Go-Sanjo.
Makala hii kuhusu Kaizari fulani wa Japani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Go-Reizei wa Japani kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.
Every time you click a link to Wikipedia, Wiktionary or Wikiquote in your browser's search results, it will show the modern Wikiwand interface.
Wikiwand extension is a five stars, simple, with minimum permission required to keep your browsing private, safe and transparent.