Gainesville, Florida
From Wikipedia, the free encyclopedia
Gainesville ni mji wa Marekani katika jimbo la Florida. Kwa mujibu wa sensa iliyofanyika mnamo mwaka wa 2007, mji una wakazi wapatao 260,000 wanaoishi katika mji huu. Mji upo m 54 kutoka juu ya usawa wa bahari.
Ukweli wa haraka Nchi, Jimbo ...
Gainesville | |
Mahali pa mji wa Gainesville katika Marekani |
|
Majiranukta: 29°39′55″N 82°20′10″W | |
Nchi | Marekani |
---|---|
Jimbo | Florida |
Wilaya | Alachua |
Idadi ya wakazi | |
- Wakazi kwa ujumla | 114,375 |
Funga
Makala hii kuhusu maeneo ya Florida bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Gainesville, Florida kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |