![cover image](https://wikiwandv2-19431.kxcdn.com/_next/image?url=https://upload.wikimedia.org/wikipedia/commons/thumb/1/12/Amasya_location_G%25C3%25BCm%25C3%25BC%25C5%259Fhac%25C4%25B1k%25C3%25B6y.png/640px-Amasya_location_G%25C3%25BCm%25C3%25BC%25C5%259Fhac%25C4%25B1k%25C3%25B6y.png&w=640&q=50)
Gümüşhacıköy
From Wikipedia, the free encyclopedia
Gümüşhacıköy ni mji na wilaya iliopo mjini magharibi mwa Mkoa wa Amasya huko nchini Uturuki. Takriban 20 km kutoka kwenye mji wake ulio mkubwa kabisa mjini hapa wa Merzifon. Mji unachukua eneo la 653 km² na jumla la wakazi takriban 29,795 na wengine 14,057 wanaishi mahali pa mjini mwa Gümüşhacıköy.
![Thumb image](http://upload.wikimedia.org/wikipedia/commons/thumb/1/12/Amasya_location_G%C3%BCm%C3%BC%C5%9Fhac%C4%B1k%C3%B6y.png/640px-Amasya_location_G%C3%BCm%C3%BC%C5%9Fhac%C4%B1k%C3%B6y.png)