Fresno, California
From Wikipedia, the free encyclopedia
Fresno ni mji wa tano kwa ukubwa katika California. Eneo lake ni 271.4 km² kuna wakazi 500,017 (2007). Mji upo m 90 kutoka juu ya usawa wa bahari.
Ukweli wa haraka Nchi, Jimbo ...
Jiji la Fresno | |||
| |||
Nchi | Marekani | ||
---|---|---|---|
Jimbo | California | ||
Wilaya | Fresno | ||
Idadi ya wakazi | |||
- Wakazi kwa ujumla | 500,017 | ||
Tovuti: www.fresno.gov |
Funga
Fresno ni kati ya California baina ya Los Angeles na San Francisco.
Mji uliundwa mwaka 1856. Jina la kwanza la mji lilikuwa Millerton.
Jina la Fresno ni ya Kihispania, maana yake ni mti wa ash.