Firenze
From Wikipedia, the free encyclopedia
Firenze (kwa Kiingereza Florence) ni mji katika Italia ya Kati na makao makuu ya mkoa wa Toscana. Kati ya mwaka 1865 hadi 1870 ilikuwa pia mji mkuu wa Ufalme wa Italia.
Ukweli wa haraka Nchi, Mkoa ...
Firenze | |
Mahali pa Firenze katika Italia |
|
Majiranukta: 43°47′00″N 11°15′00″E | |
Nchi | Italia |
---|---|
Mkoa | Toscana |
Wilaya | Firenze |
Idadi ya wakazi | |
- Wakazi kwa ujumla | 360,000 |
Tovuti: http://www.comune.fi.it/ |
Funga
Mji uko juu ya mto Arno. Idadi ya wakazi ni mnamo 360,000 na pamoja na rundiko la mji ni takriban 1,100,000.