Ferrara
From Wikipedia, the free encyclopedia
Ferrara ni mji wa Italia katika mkoa wa Emilia-Romagna.
Ukweli wa haraka Nchi, Mkoa ...
Ferrara | |
Nchi | Italia |
---|---|
Mkoa | Emilia-Romagna |
Wilaya | Ferrara |
Idadi ya wakazi | |
- Wakazi kwa ujumla | 130,992 |
Tovuti: www.comune.ferrara.it |
Funga
Kwa mujibu wa sensa iliyofanyika mnamo mwaka wa 2009, kuna wakazi wapatao 131,000 wanaoishi katika mji huu. Mji upo m 9 juu ya usawa wa bahari.
Sehemu ya Mtaguso wa Firenze ilifanyika huko.
Mji wa Renaissance umo katika orodha ya urithi wa dunia ya UNESCO pamoja na delta ya mto Po.