Fargo, North Dakota
From Wikipedia, the free encyclopedia
Fargo ndiyo mji mkubwa jimboni la North Dakota. Kwa mujibu wa sensa iliyofanyika mnamo mwaka wa 2008, mji una wakazi wapatao 99,200 wanaoishi katika mji huu. Eneo lake ni 98.3 km².
Ukweli wa haraka Nchi, Jimbo ...
Fargo | |
Nchi | Marekani |
---|---|
Jimbo | North Dakota |
Wilaya | Cass |
Idadi ya wakazi | |
- Wakazi kwa ujumla | 99,200 |
Funga
Makala hii kuhusu maeneo ya Marekani bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Fargo, North Dakota kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |