Fabriano
From Wikipedia, the free encyclopedia
Fabriano ni mji mdogo wa mkoa wa Marche nchini Italia.
Ukweli wa haraka Nchi, Mkoa ...
Fabriano | |
Mahali pa Fabriano katika Italia |
|
Majiranukta: 43°20′00″N 12°55′00″E | |
Nchi | Italia |
---|---|
Mkoa | Marche |
Wilaya | Ancona |
Idadi ya wakazi | |
- Wakazi kwa ujumla | 29,882 |
Tovuti: http://www.piazzalta.it/ |
Funga
Una wakazi 29,882 (2020) kwenye mita 325 juu ya usawa wa bahari; eneo lote ni la kilometa mraba 269,61 kwenye milima ya Apenini.
Ni maarufu duniani kwa sababu ya utengenezaji wa karatasi bora kuanzia karne ya 13.