Ezhou
From Wikipedia, the free encyclopedia
Ezhou (kwa Kichina:鄂州) ni mji wa China katika mkoa wa Hubei.
Ukweli wa haraka Nchi, Jimbo ...
Ezhou | |
Ezhou na ziwa | |
Majiranukta: 30°24′00″N 114°53′00″E | |
Nchi | China |
---|---|
Jimbo | Hubei |
Idadi ya wakazi | |
- Wakazi kwa ujumla | 1,064,400 |
Tovuti: http://www.Ezhou.gov.cn/ |
Funga
Kwa mujibu wa sensa iliyofanyika mnamo mwaka wa 2007, kuna wakazi wapatao milioni 1.06 wanaoishi katika mji huu.