![cover image](https://wikiwandv2-19431.kxcdn.com/_next/image?url=https://upload.wikimedia.org/wikipedia/commons/thumb/8/8c/Eric_Balfour_in_2010_cropped.jpg/640px-Eric_Balfour_in_2010_cropped.jpg&w=640&q=50)
Eric Balfour
From Wikipedia, the free encyclopedia
Eric Salter Balfour (amezaliwa tar. 24 Aprili 1977) ni mwimbaji na mwigizaji wa filamu na televisheni kutoka nchini Marekani. Huyu ndiye mwimbaji kiongozi wa bendi ya Born As Ghosts, zamani ilikuwa inajulikana kwa jina la Fredalba. Huenda akawa anafahamika zaidi kwa kucheza kama Milo Pressman kutoka katika mfululizo wa kipindi cha televisheni cha Kimarekani maarufu kama 24.
Ukweli wa haraka Amezaliwa, Kazi yake ...
Eric Balfour | |
---|---|
![]() Eric Balfour, mnamo 2010 | |
Amezaliwa | Eric Salter Balfour 24 Aprili 1977 (1977-04-24) (umri 47) Los Angeles, California, Marekani |
Kazi yake | Mwigizaji, mwimbaji |
Miaka ya kazi | 1991-hadi leo |
Ndoa | Erin Chiamulon (2015) |
Watoto | 2 |
Funga