Emmanuel Macron
From Wikipedia, the free encyclopedia
Emmanuel Jean-Michel Frédéric Macron (*21 Disemba 1977) ni mwanasiasa nchini Ufaransa aliyezaliwa mjini Amiens. Mwaka 2017 alichaguliwa na wananchi kuwa rais wa taifa. Akiwa na umri wa miaka 39, Macron akawa rais mdogo zaidi katika historia ya Ufaransa
Ukweli wa haraka Waziri Mkuu, mtangulizi ...
Emmanuel Macron | |
Rais wa Ufaransa (2017) hadi 2016 Waziri wa Uchumi | |
Muda wa Utawala 26 August 2014 – 30 August 2016 | |
Waziri Mkuu | Manuel Valls |
---|---|
mtangulizi | Arnaud Montebourg |
aliyemfuata | Michel Sapin |
tarehe ya kuzaliwa | 21 Desemba 1977 (1977-12-21) (umri 46) Amiens, Ufaransa |
chama | En Marche! (2016–present) |
chamakingine | Chama cha Kisoshalisti cha Ufaransa (2006–2009) |
ndoa | Brigitte Trogneux (m. 2007–present) «start: (2007)»"Marriage: Brigitte Trogneux to Emmanuel Macron" Location: (linkback://sw.wikipedia.org/wiki/Emmanuel_Macron) |
mhitimu wa | Paris X Nanterre Sciences Po École nationale d'administration |
Funga