Dallas Mavericks
Timu ya Wataalam wa Mpira wa Kikapu nchini Marekani / From Wikipedia, the free encyclopedia
Dallas Mavericks ni timu ya kulipwa ya mpira wa kikapu kutoka mjini Dallas, Texas. Wanachezea katika Chama cha Mpira wa Kikapu nchini Marekani. Vinara wao waliopo kwa sasa ni pamoja na Dirk Nowitzki.