Daejeon
From Wikipedia, the free encyclopedia
Daejeon (Kikorea: 대전) ni mji nchini Korea Kusini. Ni mji mkubwa wa tano katika nchi wa Korea Kusini. Kuna wakazi 1,518,540 (mwaka 2010). Mji ulianzishwa 1581.