Cornelis Langenhoven
Mwanasiasa wa Afrika Kusini (1873-1932) From Wikipedia, the free encyclopedia
Mwanasiasa wa Afrika Kusini (1873-1932) From Wikipedia, the free encyclopedia
Cornelis Jacobus Langenhoven (13 Agosti 1873 - 15 Julai 1932) alikuwa mwandishi wa Afrika Kusini, hasa upande wa mashairi na insha. Yeye huonekana kama mwandishi mkuu wa fasihi ya Kiafrikaans mwanzoni mwa karne ya 20. Anajulikana kwa kutunga maneno ya wimbo wa taifa wa kwanza wa Afrika Kusini, Die Stem ("Mwito").
Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Cornelis Langenhoven kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.
Every time you click a link to Wikipedia, Wiktionary or Wikiquote in your browser's search results, it will show the modern Wikiwand interface.
Wikiwand extension is a five stars, simple, with minimum permission required to keep your browsing private, safe and transparent.