Constantius Chlorus
From Wikipedia, the free encyclopedia
Flavius Valerius Constantius (31 Machi 250 – 25 Julai 306) alikuwa Kaizari wa Dola la Roma Magharibi kuanzia mwezi Mei 305 hadi kifo chake.
Aliitwa Chlorus kwa ajili ya rangi ya uso wake kuwa nyeupe. Alimfuata Maximian. Alikuwa baba wa Konstantino Mkuu.