Châlons-en-Champagne
From Wikipedia, the free encyclopedia
Châlons-en-Champagne ndiyo mji mkuu katika mkoa la Champagne-Ardenne. Kwa mujibu wa sensa iliyofanyika mnamo mwaka wa 2006, mji una wakazi wapatao 50,000 wanaoishi katika mji huu. Mji upo m 79-153 kutoka juu ya usawa wa bahari.
Ukweli wa haraka Nchi, Mkoa ...
Châlons-en-Champagne | |
Mahali pa mji wa Châlons-en-Champagne katika Ufaransa |
|
Majiranukta: 48°57′27″N 4°21′54″E | |
Nchi | Ufaransa |
---|---|
Mkoa | Champagne-Ardenne |
Wilaya | Marne |
Idadi ya wakazi | |
- Wakazi kwa ujumla | 46,184 |
Tovuti: www.chalons-en-champagne.net |
Funga
![Thumb image](http://upload.wikimedia.org/wikipedia/commons/thumb/b/b1/Blason_Chalons-en-Champagne.svg/320px-Blason_Chalons-en-Champagne.svg.png)