Chokowe ni ndege wadogo wa jenasi mbalimbali katika familia ya Scolopacidae. Nje ya majiri ya kuzaa huonekana hasa karibu na maji (bahari, maziwa, mito) lakini spishi chache huonekana mbali na maji (k.m. Tryngites subruficollis). Takriban spishi zote hutaga mayai chini tundrani kwa kanda za akitiki za Ulaya, Asia na Amerika. Hula wadudu, gegereka na nyungunyungu.
Maelezo zaidi Uainishaji wa kisayansi ...
Funga
- Calidris alba, Chokowe Tumbo-jeupe (Sanderling)
- Calidris alpina, Chokowe Tumbo-jeusi (Dunlin)
- Calidris canutus, Chokowe Mwekundu (Red Knot)
- Calidris falcinellus, Chokowe Domo-pana ( Broad-billed Sandpiper) – inaainishwa pia kama Limicola falcinellus
- Calidris ferruginea, Chokowe Domo-sululu (Curlew Sandpiper)
- Calidris maritima, Chokowe Zambarau (Purple Sandpiper)
- Calidris minuta, Chokowe Mdogo ( Little Stint)
- Calidris subminuta, Chokowe Vidole-virefu (Long-toed Stint)
- Calidris temminckii, Chokowe Mkia-mweupe (Temminck’s Stint)
- Micropalama himantopus, Chokowe Miguu-myekundu (Stilt Sandpiper) – inaainishwa pia kama Calidris himantopus
- Philomachus pugnax, Chokowe Mjasiri (Ruff)
Chokowe tumbo-jeupe
Chokowe tumbo-jeusi
Chokowe wekundu, manyoya ya majira ya kuhama
Chokowe domo-sululu
Chokowe zambarau
Chokowe mdogo
Chokowe vidole-virefu
Chokowe mkia-mweupe
Chokowe domo-pana
Chokowe mjasiri, manyoya ya majira ya kuhama
Chokowe mjasiri, manyoya ya majira ya kuzaa
Baird’s sandpiper
White-rumped sandpiper
Western sandpiper
Pectoral sandpiper
Least sandpiper
Rock sandpiper
Semipalmated sandpiper
Red-necked stint
Great knot
Surfbird
Sharp-tailed sandpiper