Chicago Bulls
Timu ya mpira wa kikapu ya Marekani / From Wikipedia, the free encyclopedia
Chicago Bulls ni timu ya kulipwa ya mpira wa kikapu kutoka mjini Chicago, Illinois. Wanachezea katika Chama cha Mpira wa Kikapu nchini Marekani. Vinara wao waliopo kwa sasa ni pamoja na Derrick Rose.