From Wikipedia, the free encyclopedia
Chembeuzi za jinsia (pia: kromosomu za jinsia, ing. sex chromosomes) ni mbili kati ya chembeuzi za binadamu na za wanyama mbalimbali zinazoongoza utengenezaji wa seli zote za mwili kadiri ya urithi wa wazazi unaotunzwa katika DNA.
Hizo chembeuzi za jinsia kwa binadamu ni chembeuzi X na chembeuzi Y. Ndizo zinazosababisha mtu kuwa mwanamume au mwanamke, na vilevile wanyama mbalimbali kuwa wa kiume au wa kike.
Baba tu ana chembeuzi Y (pamoja na ile ya X) na hivyo anaweza kumrithisha mwanae, ambaye kwa njia hiyo atakuwa wa kiume.
Kumbe mama ana jozi la chembeuzi X asiweze kurithisha chembeuzi Y.
Ndiyo maana ni baba tu anayesababisha jinsia ya mtoto wao.
Makala hii kuhusu mambo ya sayansi bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Chembeuzi za jinsia kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.
Every time you click a link to Wikipedia, Wiktionary or Wikiquote in your browser's search results, it will show the modern Wikiwand interface.
Wikiwand extension is a five stars, simple, with minimum permission required to keep your browsing private, safe and transparent.