Cate Blanchett
From Wikipedia, the free encyclopedia
Cate Blanchett (amezaliwa na jina la Catherine Elise Blanchett; mnamo 14 Mei 1969) ni mwigizaji wa kutoka nchini Australia.
Ukweli wa haraka Amezaliwa, Kazi yake ...
Cate Blanchett | |
---|---|
Cate Blanchett, mnamo 2018 | |
Amezaliwa | Catherine Elise Blanchett 14 Mei 1969 (1969-05-14) (umri 55) Ivanhoe, Victoria, Australia |
Kazi yake | Mwigizaji |
Miaka ya kazi | 1992–mpaka sasa |
Ndoa | Andrew Upton (m. 1997–present) «start: (1997)»"Marriage: Andrew Upton to Cate Blanchett" Location: (linkback://sw.wikipedia.org/wiki/Cate_Blanchett) |
Funga
Blanchett ameshinda tuzo nyingi, ikiwa ni pamoja na Academy Award mara mbili, Golden Globe Award tatu, na BAFTA Award tatu. Blanchett alianza kuigiza nchini Australia kwenye filamu ya Electra mnamo 1992 na Hamlet mnamo 1994. Blanchett alianza kujulikana ulimwengu pindi alipoigiza kama Malkia Elizabeth kwenye filamu ya Elizabeth, ambapo alipata uteuzi wake wa kwanza wa Academy Award.