CatanzaroFrom Wikipedia, the free encyclopedia Catanzaro ni makao makuu ya wilaya yenye jina hilohilo na ya mkoa wa Calabria, Italia Kusini. Muonekano wa mji wa Catanzaro Mji huo una wakazi 88,457 (2019), hivyo ni wa pili mkoani.
Catanzaro ni makao makuu ya wilaya yenye jina hilohilo na ya mkoa wa Calabria, Italia Kusini. Muonekano wa mji wa Catanzaro Mji huo una wakazi 88,457 (2019), hivyo ni wa pili mkoani.