CampaniaFrom Wikipedia, the free encyclopedia Campania ni mkoa wa Italia upande wa kusini-magharibi. Ndio wenye wakazi wengi zaidi kati ya ile yote ya Italia Kusini. Bendera ya Campania. Mahali pa Campania katika Italia Mji mkuu wake ni Napoli, mji wa tatu wa nchi baada ya Roma na Milano.
Campania ni mkoa wa Italia upande wa kusini-magharibi. Ndio wenye wakazi wengi zaidi kati ya ile yote ya Italia Kusini. Bendera ya Campania. Mahali pa Campania katika Italia Mji mkuu wake ni Napoli, mji wa tatu wa nchi baada ya Roma na Milano.