![cover image](https://wikiwandv2-19431.kxcdn.com/_next/image?url=https://upload.wikimedia.org/wikipedia/commons/thumb/c/cc/Bouzar%25C3%25A9ah_Coat_of_Arms_%2528Frech_Algeria%2529.svg/langsw-640px-Bouzar%25C3%25A9ah_Coat_of_Arms_%2528Frech_Algeria%2529.svg.png&w=640&q=50)
Bouzaréah
From Wikipedia, the free encyclopedia
Bouzareah au Bouzaréah (Kiarabu: بوزريعة, romanized: būzareah) ni kitongoji cha Algiers, Algeria. Kilikuwa na idadi ya watu 69,200 mwaka 1998[1] na kina urefu wa zaidi ya mita 300 juu ya usawa wa bahari. Jina la mji huu linatokana na Kiarabu na linamaanisha "ya nafaka" au "kutoka kwa nafaka". Ubalozi wa Niger, Oman, na Mauritania vipo huko.
![Thumb image](http://upload.wikimedia.org/wikipedia/commons/thumb/c/cc/Bouzar%C3%A9ah_Coat_of_Arms_%28Frech_Algeria%29.svg/320px-Bouzar%C3%A9ah_Coat_of_Arms_%28Frech_Algeria%29.svg.png)