BollnäsFrom Wikipedia, the free encyclopedia Bollnäs ni mji na manispaa nchini Uswidi. Kuna wakazi 12,455 (mwaka 2005). Mji ulianzishwa 1942.