Biakinywaji cha kileo / From Wikipedia, the free encyclopedia Bia ni kinywaji cha pombe kinachotengenezwa kwa maji, nafaka hasa shayiri, hopi kwa ladha na hamira kama chachu. Kiwango cha alikoholi ndani yake ni kati ya asilimia 2 - 6. Viking ni bia kutoka Iceland
Bia ni kinywaji cha pombe kinachotengenezwa kwa maji, nafaka hasa shayiri, hopi kwa ladha na hamira kama chachu. Kiwango cha alikoholi ndani yake ni kati ya asilimia 2 - 6. Viking ni bia kutoka Iceland