Bengo
From Wikipedia, the free encyclopedia
Mkoa wa Bengo ni kati ya mikoa kumi na nane ya Angola.
Ukweli wa haraka Nchi, Mji mkuu ...
Bengo |
|
![]() |
|
Nchi | Angola |
---|---|
Mji mkuu | Caxito |
Eneo | |
- Jumla | 31,371 km² |
Idadi ya wakazi | |
- Wakazi kwa ujumla | 196.100 |
Funga
Una wakazi 196.100 kwenye eneo la km² 31,371. Makao makuu ya mkoa yapo Caxito.