Basse-Terre (mji)
From Wikipedia, the free encyclopedia
Basse-Terre ni mji mkuu wa eneo la ng’ambo la Ufaransa (yajulikana kwa Kifaransa kama "département d'outre-mer") la Guadeloupe ambayo ni kisiwa kimoja cha ya katika Bahari ya Karibi. Mji wa Basse-Terre iko kusini-magharibi ya kisiwa cha Basse-Terre.
Ukweli wa haraka Nchi, Mkoa ...
Basse-Terre | |||
| |||
Majiranukta: 16°00′00″N 61°44′00.02″W | |||
Nchi | Ufaransa | ||
---|---|---|---|
Mkoa | Guadeloupe | ||
Wilaya | Guadeloupe | ||
Idadi ya wakazi | |||
- Wakazi kwa ujumla | 11,534 |
Funga