![cover image](https://wikiwandv2-19431.kxcdn.com/_next/image?url=https://upload.wikimedia.org/wikipedia/commons/thumb/f/f6/SanfrancescoAssisi.jpg/640px-SanfrancescoAssisi.jpg&w=640&q=50)
Basilika la Mt. Fransisko
From Wikipedia, the free encyclopedia
Basilika la Mt. Fransisko huko Assisi, (mkoa wa Umbria, (Italia) ni kanisa kubwa lililojengwa kwa muda mfupi (1228-1253) ili kutunza masalia ya Fransisko wa Asizi (1182-1226).
![Thumb image](http://upload.wikimedia.org/wikipedia/commons/thumb/f/f6/SanfrancescoAssisi.jpg/640px-SanfrancescoAssisi.jpg)
![Thumb image](http://upload.wikimedia.org/wikipedia/commons/thumb/8/84/2010-08-11_Assisi_San_Francesco_basilica_superiore_%28corrected%29.jpg/640px-2010-08-11_Assisi_San_Francesco_basilica_superiore_%28corrected%29.jpg)
![Thumb image](http://upload.wikimedia.org/wikipedia/commons/thumb/e/ed/Basilica_di_San_Francesco_interno_navata.jpg/640px-Basilica_di_San_Francesco_interno_navata.jpg)
Ni kati ya patakatifu panapotembelewa na watu wengi zaidi, milioni kadhaa kila mwaka.
Kutokana na ubora wa sanaa zake, mwaka 2000 limetangazwa kuwa urithi wa dunia.