BasilicataFrom Wikipedia, the free encyclopedia Basilicata ni mkoa wa Italia. Uko upande wa kusini wa rasi ya Italia, na ni mkoa pekee wenye pwani upande wa mashariki na magharibi. Bendera ya Basilicata. Mahali pa Basilicata katika Italia Mji mkuu wake ni Potenza.
Basilicata ni mkoa wa Italia. Uko upande wa kusini wa rasi ya Italia, na ni mkoa pekee wenye pwani upande wa mashariki na magharibi. Bendera ya Basilicata. Mahali pa Basilicata katika Italia Mji mkuu wake ni Potenza.