From Wikipedia, the free encyclopedia
Balıkesir ni mji uliopo katika mkoa wa Marmara katika nchi ya Uturuki. Mji una wakazi wapatao 649,623 waishio katika mji huo. Ni kituo kikubwa cha kusafirishi bidhaa zao kwa nchi za nje. Ni kituo mashuhuri kwa watalii wenyeji na wageni, ambao wanaotumia hapo kwa kupelelezea nchi za zipakanazo na mji huo. Sana kwa uzuri wake wa kuwa na Mlima wa Ida (Kaz Dağı). Huu ni mji mkuu wa Mkoa wa Balıkesir.
Balıkesir | |
---|---|
Eneo katika Uturuki | |
Maelezo | |
Eneo : | 14,456 km² (Mkoa) |
Idadi ya watu: | 1,076,347(Mkoa) |
215,436 (City) | |
Urefu : | m 70 |
Saa za eneo : | UTC+2 |
Tovuti : | Balikesir Municipality Archived 5 Desemba 2006 at the Wayback Machine. |
Kodi ya Posta : | 10xxx |
Kodi za Eneo : | 0266 |
Ngazi ya Utawala | |
Nchi : | Uturuki 10 |
Meya | Sabri Uğur |
Gavana | Selahattin Hatipoğlu |
Karibu kidogo na Balıkesir kulikuwa na mji wa Roma wa Hadrianutherae, uligundulika kwa jina la commemorates, na Dola la Hadrian. Wakati wa umiliki wa Ufalme wa Byzanti mji ulikuwa ukijuilkana kwa jina la Palaeokastron (Kigiriki: Palaeologus castle).
Makala hii kuhusu maeneo ya Uturuki bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Balıkesir kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.
Every time you click a link to Wikipedia, Wiktionary or Wikiquote in your browser's search results, it will show the modern Wikiwand interface.
Wikiwand extension is a five stars, simple, with minimum permission required to keep your browsing private, safe and transparent.