Bab
From Wikipedia, the free encyclopedia
Bab (kwa Kiarabu: الباب al-bab, wa maana ya "Geti la Mungu"; 20. Oktoba 1819 huko Shiraz, Iran; 9. Julai 1850 huko Tabriz, Iran) ni jina la heshima la kidini la Seyyed ʿAli Muhammad Shirazi (kwa Kifarsi: سيد علی محمد شیرازی ) aliyekuwa mwanzilishi wa dini ya Ubabi. Wababi na Wabahai wanaamini alikuwa ufunuo wa Mungu.