From Wikipedia, the free encyclopedia
Aidın (Kigiriki: Αϊδίνιο) ni mji mkuu wa Mkoa wa Aydın wa nchini Uturuki.
Aidın ni kitovu cha mabonde madogo ya Mto Meander kuelekea chini ya Bahari ya Aegean. Mji unafahamika toka zama za kale kwa kuwa na rutuba na mazao mengi. Leo hii zao kubwa lifahamikalo kwa huko ni ile miti ya mifigi, japokuwa eneo linaweza kuotesha baadhi ya kilimo cha mazao mengine tofauti na hayo.
Mji pia una viwanda vidogovidogo na maeneo kadhaa ya kihistoria na vitovu vya utalii. Hali ya hewa ya huko kwa kipindi cha kiangazi huwa na joto sana.
Makala hii kuhusu maeneo ya Uturuki bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Aydın kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.
Every time you click a link to Wikipedia, Wiktionary or Wikiquote in your browser's search results, it will show the modern Wikiwand interface.
Wikiwand extension is a five stars, simple, with minimum permission required to keep your browsing private, safe and transparent.