![cover image](https://wikiwandv2-19431.kxcdn.com/_next/image?url=https://upload.wikimedia.org/wikipedia/commons/thumb/5/52/Auckland_skyline_2019.jpg/640px-Auckland_skyline_2019.jpg&w=640&q=50)
Auckland
mji katika North Island New Zealand / From Wikipedia, the free encyclopedia
Auckland ni mji mkubwa kabisa katika nchi ya New Zealand. Mji wa Auckland una idadi ya wakazi wapatao milioni 1.4 (makisio). Kwa kipindi kifupi katika historia ya New Zealand, mji wa Auckland ulikuwa mji mkuu kabla hauja amishiwa katika mji mkuu mwingine wa sasa wa Wellington.
![Thumb image](http://upload.wikimedia.org/wikipedia/commons/thumb/5/52/Auckland_skyline_2019.jpg/640px-Auckland_skyline_2019.jpg)