![cover image](https://wikiwandv2-19431.kxcdn.com/_next/image?url=https://upload.wikimedia.org/wikipedia/commons/thumb/a/aa/Joe_Johnson_Atlanta_Hawks_2008-9_season.jpg/640px-Joe_Johnson_Atlanta_Hawks_2008-9_season.jpg&w=640&q=50)
Atlanta Hawks
Timu ya mpira wa kikapu ya Marekani yenye makao yake Atlanta / From Wikipedia, the free encyclopedia
Atlanta Hawks ni timu ya kulipwa ya mpira wa kikapu kutoka mjini Atlanta, Georgia. Wanachezea katika Chama cha Mpira wa Kikapu nchini Marekani. Vinara wao waliopo kwa sasa ni pamoja na Trae Young.
![Thumb image](http://upload.wikimedia.org/wikipedia/commons/thumb/a/aa/Joe_Johnson_Atlanta_Hawks_2008-9_season.jpg/320px-Joe_Johnson_Atlanta_Hawks_2008-9_season.jpg)