From Wikipedia, the free encyclopedia
Ararat (kwa Kiarmenia: Արարատ; zamani uliitwa Davalu) ni mji uliopo nchini Armenia kwenye mkoa wa Ararat, takriban km 42 kutoka mjini kaskazini-magharibi mwa mji wa Yerevan. Hapa ndipo katikati ya sekta ya ujenzi na kituo cha reli.
Makala hii kuhusu maeneo ya Armenia bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Ararat, Armenia kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.
Every time you click a link to Wikipedia, Wiktionary or Wikiquote in your browser's search results, it will show the modern Wikiwand interface.
Wikiwand extension is a five stars, simple, with minimum permission required to keep your browsing private, safe and transparent.