Antônio Carlos Zago
From Wikipedia, the free encyclopedia
Antônio Carlos Zago (alizaliwa 18 Mei 1969) ni mchezaji wa zamani wa mpira wa miguu wa Brazil. Aliwahi kucheza timu ya taifa ya Brazil.
Ukweli wa haraka Jinsia, Nchi ya uraia ...
Antônio Carlos Zago
Jinsia | mume ![]() |
---|---|
Nchi ya uraia | Brazil ![]() |
Nchi anayoitumikia | Brazil ![]() |
Jina halisi | Antônio ![]() |
Tarehe ya Kuzaliwa | 18 Mei 1969, 14 Machi 1969 ![]() |
Mahali alipozaliwa | Presidente Prudente ![]() |
Lugha zinazozungumzwa, zilizoandikwa au zilizotiwa sahihi | Kireno ![]() |
Kazi | association football player, association football coach ![]() |
Nafasi anayocheza kwenye timu | Beki ![]() |
Muda wa kazi | 1991 ![]() |
Mchezo | Mpira wa miguu ![]() |
Funga
Zago ameichezea timu ya taifa ya Brazil tangu mwaka wa 1991. Zago alicheza Brazil katika mechi 37, akifunga mabao 3.[1]