![cover image](https://wikiwandv2-19431.kxcdn.com/_next/image?url=https://upload.wikimedia.org/wikipedia/commons/thumb/3/33/Annie_Wersching_2009.jpg/640px-Annie_Wersching_2009.jpg&w=640&q=50)
Annie Wersching
From Wikipedia, the free encyclopedia
Annie Wersching (28 Machi 1977 — 29 Januari 2023) ni mwigizaji wa filamu na televisheni kutoka nchini Marekani.
Ukweli wa haraka Amezaliwa, Kazi yake ...
Annie Wersching | |
---|---|
![]() Wersching kwenye msimu wa 7 wa 24', 2009 | |
Amezaliwa | 28 Machi 1977 (1977-03-28) (umri 47) |
Kazi yake | Mwigizaji |
Miaka ya kazi | 2002–2023 |
Tovuti rasmi |
Funga
Anajulikana zaidi kwa kucheza kama kachero wa FBI, Renee Walker kutoka katika mfululizo wa kipindi cha televisheni maarufu kama 24.