From Wikipedia, the free encyclopedia
Anioni (kutoka neno la Kigiriki ἄνω (ánō), likimaanisha "juu") ni ioni yenye elektroni nyingi zaidi kuliko protoni, na hivyo huwa na chaji hasi (kwa kuwa elektroni zina chaji hasi na protoni zina chaji chanya).
Katika chombo cha elektrolisisi huvutiwa kwenye anodi.
Makala hii kuhusu mambo ya kemia bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Anioni kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.
Every time you click a link to Wikipedia, Wiktionary or Wikiquote in your browser's search results, it will show the modern Wikiwand interface.
Wikiwand extension is a five stars, simple, with minimum permission required to keep your browsing private, safe and transparent.