![cover image](https://wikiwandv2-19431.kxcdn.com/_next/image?url=https://upload.wikimedia.org/wikipedia/commons/thumb/e/eb/Madagascar-Analanjirofo_Region.png/640px-Madagascar-Analanjirofo_Region.png&w=640&q=50)
Analanjirofo
From Wikipedia, the free encyclopedia
Analanjirofo ni moja ya mikoa 22 ya kujitawala ya Madagaska. Idadi ya wakazi wake ni takriban 860,800. Mji mkuu ni Fenoarivo Atsinanana.
Ukweli wa haraka Nchi, Wilaya ...
Analanjirofo |
|
![]() |
|
Majiranukta: 12°28′S 49°28′E | |
Nchi | Madagaska |
---|---|
Wilaya | 5 |
Mji mkuu | Fenoarivo Atsinanana |
Eneo | |
- Jumla | 21,930 km² |
Idadi ya wakazi (2004) | |
- Wakazi kwa ujumla | 860,800 |
Funga