Amerika ya KilatiniFrom Wikipedia, the free encyclopedia Amerika ya Kilatini ni jina linalotumika kutaja sehemu kubwa ya Amerika. Nchi za Amerika ya Kilatini zinazotumia lugha za Kihispania, Kireno na Kifaransa. Belize imo kwa sababu ya wasemaji wengi wa Kihispania.
Amerika ya Kilatini ni jina linalotumika kutaja sehemu kubwa ya Amerika. Nchi za Amerika ya Kilatini zinazotumia lugha za Kihispania, Kireno na Kifaransa. Belize imo kwa sababu ya wasemaji wengi wa Kihispania.