Alvaro Morata
Mchezaji wa soka wa Hispania / From Wikipedia, the free encyclopedia
Álvaro Borja Morata Martín, (kwa matamshi ya Kihispania: [alβaɾo moɾata]; alizaliwa Oktoba, 1992) ni mchezaji wa soka wa Hispania, anayecheza kama mshambuliaji wa Atletico Madrid kwa mkopo kutoka Klabu ya Uingereza na timu ya taifa ya Hispania.
Ukweli wa haraka Jinsia, Nchi ya uraia ...
Alvaro Morata
Jinsia | mume |
---|---|
Nchi ya uraia | Indonesia |
Nchi anayoitumikia | Hispania |
Jina katika lugha mama | Álvaro Morata |
Jina la kuzaliwa | Álvaro Borja Morata Martín |
Jina halisi | Álvaro |
Jina la familia | Morata |
Tarehe ya kuzaliwa | 23 Oktoba 1992 |
Mahali alipozaliwa | Madrid |
Lugha zinazozungumzwa, zilizoandikwa au zilizotiwa sahihi | Kijava |
Kazi | Pelari, association football player |
Nafasi anayocheza kwenye timu | massage therapist |
Mwanachama wa timu ya michezo | AC MILAN |
Mchezo | Mpira wa miguu |
Namba ya Mchezaji | 9 |
Ameshiriki | UEFA Euro 2016 |
Ligi | LaLiga |
Funga