From Wikipedia, the free encyclopedia
Alliance for Change and Transparency (ACT) (kwa Kiswahili:Umoja kwa Mabadiliko na Uwazi) ni chama cha kisiasa nchini Tanzania.[1] Kimepata usajili wake kamili mnamo Mei 2014.[2]
Chama kilianzishwa mwaka wa 2014.
Kimenuia kurudisha sera za Ujamaa. Mbunge wa zamani wa upinzani Zitto Kabwe amejiunga na chama hicho mnamo Machi 2015 kufuatia kufukuzwa kwake katika chama cha Chadema.[3]
Mwaka 2015 chama kilipanga kuchukua angalau majimbo 10 na kukusanya asilimia 15 ya jumla ya kura zitakazopigwa katika uchaguzi mkuu.
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.
Every time you click a link to Wikipedia, Wiktionary or Wikiquote in your browser's search results, it will show the modern Wikiwand interface.
Wikiwand extension is a five stars, simple, with minimum permission required to keep your browsing private, safe and transparent.