From Wikipedia, the free encyclopedia
Aljebra (kutoka katika Kiarabu "al-jabr", inamaanisha "muungano wa sehemu zilizovunjika") ni tawi mojawapo la hisabati pamoja na nadharia ya namba, jiometri na uchambuzi.
Sifa maalumu ya aljebra ni kwamba inatumia ishara kutatua matatizo ya hisabati, kwa mfano kupiga hesabu hata kama namba fulani ndani yake haijulikani.
Katika muundo wake wa kiujumla, aljebra ni somo la ishara za kihisabati na sheria za kuendesha ishara hizo; ni uzi unaounganisha karibu matawi yote ya hisabati. Inajumuisha kila kitu kutoka kwenye misingi ya kutatua milinganyo.
Makala hii kuhusu mambo ya sayansi bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Aljebra kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.
Every time you click a link to Wikipedia, Wiktionary or Wikiquote in your browser's search results, it will show the modern Wikiwand interface.
Wikiwand extension is a five stars, simple, with minimum permission required to keep your browsing private, safe and transparent.